Print this page

Daraja Takatifu la Upadri kwa Shemasi Peter Masaga akiwa amelala kifudifudi

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, akiongoza Sala wakati wa utoaji wa Daraja Takatifu la Upadri kwa Shemasi Peter Masaga (aliyelala kifudifudi), wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu, iliyofanyika Parokia ya Mtakatifu Gaspar Del Bufalo, Mbezi Beach, jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet