Na Violet Tillya Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, amelitaka Kanisa Katoliki nchini kuamka kifikra na kuwazingatia zaidi watoto…
Na Mathayo Kijazi Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji, ametoa wito kwa waamini kutotaka kusukuma makosa yao kwa wengine,…
Katika kuadhimisha Somo wa Kanda ya Mtakatifu Raphael Malaika Mkuu, Parokia ya Mtakatifu Kamili - Yombo Kiwalani, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, waamini wamealikwa…
Na Mathayo Kijazi Kufuatia Kongamano la Roho Mtakatifu lililokuwa likifanyika katika viwanja vya Parokia ya Mtakatifu Antony wa Padua – Vigoa, Jimbo Kuu la Dar…
Na Celina Matuja Waimarishwa wanatakiwa kuwa askari hodari wa Yesu Kristo kwa kujazwa nguvu na mapaji ya Roho Mtakatifu na kutumwa kuwa mashahidi wa Kristo,…
Mwenyekiti wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Adolf Mrema (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti Mstaafu wa Shirika hilo, Gordon Rwenyagira…
Na Waandishi Wetu Waamini wameaswa kutopokea Ekaristi Takatifu kimazoea huku wakia hawana maandalizi mazuri kiroho.Ujumbe huo umetolewa na maaskofu wa Jimbo Kuu la Dar es…