Print this page

Maaskofu wataka familia kutambuliwa

By January 10, 2025 185 0
Rais wa Baraza la Maaskofu Uganda, Askofu Antony Zziwa Rais wa Baraza la Maaskofu Uganda, Askofu Antony Zziwa

KAMPALA, Uganda
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Uganda (Uganda Episcopal Conference: UEC), Askofu Anthony Joseph Zziwa (pichani kulia), ametoa wito wa kuzingatiwa upya kwa familia kama msingi wa jamii.
Aliyasema hayo hivi karibuni wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu, huku Maaskofu nchini humo wakizitaka familia kutafakari wajibu wao katika kukuza upendo, amani na utulivu, sambamba na kielelezo kilichotolewa na Familia Takatifu ya Nazareti.

Rate this item
(0 votes)
Japhet