Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

LUSAKA, Zambia Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema amelishukuru Kanisa Katoliki nchini humo kwa kuunga mkono juhudi za kurekebisha na kupunguza madeni nchini humo.Katika ziara ya…
LUSAKA, ZambiaWakristo wamekumbushwa kuwa waaminifu wakimwamini Mungu, hata wakati wa changamoto za maisha wanazokutana nazo kila wakati.Hayo yalisemwa hivi karibuni na Askofu Mkuu wa Jimbo…
KAMPALA, UgandaRais wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Uganda (Uganda Episcopal Conference: UEC), Askofu Anthony Joseph Zziwa (pichani kulia), ametoa wito wa kuzingatiwa upya kwa…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko amekutana na Wanachama wa Chama cha Umoja wa Wasioona na wenye Ulemavu wa Macho (Vipofu) nchini Italia.Pande hizo mbili…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko amekemea vitendo vya kuwanyanyasa watoto, ikiwemo kuwanyima haki ya kupata elimu.Baba Mtakatifu alisema hayo hivi karibuni alipokutana na Chama…
KARONGA, MalawiChama cha Wanawake Wakatoliki (Catholic Women Association: CWA) nchini Malawi, kimefanya Mkutano Mkuu wa 45 wa Mwaka kuanzia Desemba 18–22 mwaka huu.Mkutano huo ulifanyika…
KASESE, Uganda Padri Raphael Balinandi Kambale ameadhimisha Jubilei ya Dhahabu katika Parokia ya Nsenyi, Jimbo Katoliki la Kasese nchini Uganda, akiwasihi Mapadri vijana na Wakristo…
LUSAKA, ZambiaKituo cha televisheni cha Kikatoliki nchini Zambia, Lumen TV-Z kimepata msukumo mkubwa kwa kuweka mfumo wa umeme wa jua wa KVA 11 wenye thamani…
VATICAN Baba Mtakatifu Fransisko amewataka Waamni kusimama kidete kulinda na kutetea Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo, akiwasisitiza kupokea zawadi ya uhai kwa…
VATICAN CITY Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Taleb Al Abdulmohsen, mwenye umri wa miaka 50, Daktari wa Afya ya Akili, aliyeingia nchini Ujerumani kunako…
Page 1 of 6