Print this page

‘Kariakoo Derby za sasa zimedorora’

DAR ES SALAAM

Na Arone Mpanduka

Kiongozi wa zamani wa kikundi cha ushangiliaji cha Timu ya Simba kijulikanacho kama ‘Kidedea’, Said Muchacho amesema kuwa mechi za Simba na Yanga za miaka ya sasa zimepooza, ikilinganishwa na miaka ya zamani.
Akizungumza na Tumaini Letu katika mahojiano maalum, Muchacho alisema kwamba kuanzia kipindi cha miaka ya 2000 kurudi nyuma, hekaheka zilikuwa kubwa sana kuelekea mechi za Simba na Yanga lakini kwa sasa haoni shamrashamra hizo.

SOMA ZAIDI KWENYE APP AU RIFALY

Rate this item
(0 votes)
Japhet