Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Michezo

Mwanza Na Paul Charles Mabuga Kichapo cha 2-0 kutoka kwa Azam FC, si tu kwamba kimepunguza kasi ya Simba kwenye mbio za ubingwa, bali kimetupa…
New York, MarekaniMfululizo wa ajabu wa LeBron James wa michezo 1,297 ya NBA ya msimu wa kawaida, akifunga pointi 10 au zaidi ulimalizika huku Los…
London, UingerezaTottenham wanasema wanachunguza madai kwamba kiungo Yves Bissouma, alirekodiwa akivuta nitrous oxide.Gazeti la The Sun lilichapisha picha, ambazo lilidai zilimuonesha mchezaji huyo wa kimataifa…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Singida Black Stars, imeandaa mkakati wa kuhakikisha katika kipindi hiki cha mapumziko, wanafanya maboresho machache ambayo yalikuwa ndani ya…
DAR ES SALAAM Na Nicolaus Kilowoko Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Yanga, Pedro Goncalves, amefunguka kuhusu umuhimu wa kufanya usajili, kuelekea katika dirisha…
Na Arone Mpanduka Mchezo wa kuchapana fimbo ni aina ya mchezo wa jadi, unaopatikana katika tamaduni nyingi za Kiafrika, ikiwemo Afrika Mashariki hasa Somalia (Istunka),…
Miami, MarekaniPambano la maonyesho la Jake Paul dhidi ya Bingwa wa Dunia wa uzani wa lightweight Gervonta Davis limeahirishwa.Pambano hilo, lililopangwa kufanyika Novemba 14 mwaka…
Manchester, UingerezaCristiano Ronaldo amesema Meneja wa Manchester United Ruben Amorim hatofanya miujiza kwa sababu kwa sasa klabu haipo katika njia nzuri.Mshambuliaji huyo wa Ureno mwenye…
DAR ES SALAAM Na Nicholausi Kilowoko Timu ya Umoja wa Maveterani wa Soka Tanzania (UMSOTA), imeahidi kuendelea kushiriki mashindano mbalimbali ndani na nje ya nchi,…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Beki wa zamani wa timu ya Taifa Stars, Simba, CDA na Azam FC, Boniface Pawasa amezitaka timu nne zinazoshiriki…
Page 1 of 15