DAR ES SALAAM
Na Paul Mabuga
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu muziki wa Singeli unaotutambulisha kama Watanzania.
Wapo ambao hawakubaliani na hilo na wengine wanaunga mkono hoja ya utambulisho huu kama ilivyotolewa mara kadhaa na mwanafunzi wa zamani wa Mzumbe Sekondari na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi.
SOMA ZAIDI KWENYE APP AU RIFALY