Print this page

Ally Mayay afichua urithi wa Manyika

Ally Mayai Ally Mayai

DAR ES SALAAM,

Na Arone Mpanduka

Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars, Ally Mayay, amesema kuwa marehemu Peter Manyika amemuachia elimu kubwa ya soka, hasa katika mawasiliano ya uwanjani, wakati mechi ikiwa inaendelea.
Mayay ameyasema hayo wakati akimzungumzia marehemu Manyika (golikipa wa zamani wa Yanga, Mtibwa na Taifa Stars), aliyefariki dunia Januari 26 mwaka huu.

Rate this item
(0 votes)
Japhet