Print this page

Rooney aihurumia Tottenham

By February 13, 2026 14 0

London, Uingereza
Tottenham Hotspurs wako kwenye vita vya kushushwa daraja, anasema nahodha wa zamani wa Uingereza Wayne Rooney.
Kichapo cha 2-0 kutoka kwa Manchester United, kiliongeza mwendo wao wa kutoshinda katika Ligi ya Premia, hadi mechi saba na kuwaacha vijana wa Thomas Frank, wakiwa nafasi ya 15 kwenye jedwali na pointi sita pekee, juu ya eneo la kushushwa daraja.

Rate this item
(0 votes)
Japhet