Print this page

Kuvunjika medali za Olimpiki kwachunguzwa

By February 13, 2026 13 0
Alysa Liu. Alysa Liu.

Newyork, Marekani
Waandaaji wa mashindano ya Milan-Cortina 2026, wanasema kuwa wanachunguza kwa nini medali za Olimpiki zinavunjika, baada ya wanariadha kadhaa kukumbwa na matatizo hayo.
Washindi wawili wa medali ya dhahabu wa Marekani, Breezy Johnson na Alysa Liu, walifichua kwamba utepe huo ulitoka nje ya medali hiyo, mara baada ya kupokea zawadi yao.

Rate this item
(0 votes)
Japhet