Print this page

Askofu Henry Mchamungu Parokia ya BMMH - Mbezi Beach

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Henry Mchamungu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma - Mbezi Beach, Jimboni humo baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu iliyoadhimishwa Dominika iliyopita parokiani hapo. Wengine ni Viongzi wa Kamati Tendaji ya Parokia hiyo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet