Mwenyekiti wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Adolf Mrema (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti Mstaafu wa Shirika hilo, Gordon Rwenyagira (kushoto), baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuhitimisha Kampeni ya Tegemeza Tumaini Media ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Bonaventura – Kinyerezi, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.