Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (kulia) akikata utepe kuzindua ukumbi wa kisasa wa Parokia ya Mtakatifu Martha, Mikocheni, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu iliyofanyika hivi karibuni parokiani hapo. Kushoto ni Paroko wa parokia hiyo, Padri Asis Mendonca. (Na Mpigapicha Wetu)