Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Dekano wa Dekania ya Mtakatifu Petro, Padri Elidius Kibangura (wa pili kushoto) akiwa na viongozi mbalimbali na Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga Tandale baada ya kuwapatia Sakramenti Takatifu…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (nyuma), Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (nyuma), wakiwa katika…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Halmashauri ya Walei, Parokia ya Mtakatifu Thoma wa…
Askofu wa Jimbo Katoliki Kahama, Mhashamu Christopher Ndizeye (katikati) akiwa katika adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadri iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Mt.…
Paroko wa Parokia ya Kirua_Iwa, Jimbo Katoliki la Moshi, Padri Calistus Shayo, akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) wa Parokia ya Mtakatifu Kizito – Kilongawima, Jimbo…
Waamini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika maandamano ya Ekaristi Takatifu baada ya adhimisho la Misa Takatifu ikiwa kama ishara ya kumtangaza…
Baadhi ya Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Peter Clavery-Mbezi Louis Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika maandamano ya Sikukuu ya Ekaristi Takatifu yaliyofanyika Parokiani hapo.
Katibu wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma - Mbezi Beach, Jimbo Kuu la Dar es Salam, Juliana Urio akiongoza maandamano wakati wa sherehe za Sikukuu…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Henry Mchamungu (wa tatu kushoto) akiwa katika maandamano na Waamini wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma -…
Page 1 of 25