Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akibariki kanisa la Parokia ya Mtakatifu Vincent wa Paulo – Kibamba, jimboni humo, katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kutabaruku Kanisa na Altare yake iliyofanyika parokiani hapo. Kushoto ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Prijo Joseph, na kulia ni Kansela wa Jimbo, Padri Vincent Mpwaji. (Picha na Yohana Kasosi)