Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Kanisa Letu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Dekano wa Dekania ya Mtakatifu Thomas More ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Kizito, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Romuald…
DAR ES SALAAM Na Celina Matuja Waamini wametakiwa kuamua wenyewe kutoka ndani ya mioyo yao kumtolea Bwana Yesu Kristo, maisha yao kwa imani safi, moyo wa upendo na maadili bora.Wito…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Maadhimisho ya Jubilei Kuu ya Miaka 2025 ya Ukristo, yananogeshwa na kauli mbiu “Mahujaji wa Matumaini.Matumaini ya Waamini yako katika Msalaba, yaani katika Kristo…
Katika safu hii ya Chimba Chimba Historia ya Kanisa wiki iliyopita, tuliwaletea historia ya kuanza kwa Uinjilishaji nchini Zambia. Leo tunaendelea na Uinjilishaji nchini humo, hususan Kanisa katika Zambia huru…
KUSANYIKO LA KILITURUJIA-I1. Maana ya Kusanyiko la Kiliturujia: Kusanyiko la kiliturujia ni watu walioitwa na Mungu kwa njia ya Kristo kukusanyika kama jumuiya, ili kueleza imani yao na kuikuza zaidi…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Stephano Musomba-OSA, amesema kuwa vijana wanapopokea Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, wanapokea ili watambue…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Viongozi wa Dini na Wanasiasa nchini, wanatakiwa kuzingatia hekima ili waweze kutenda vyema, kwani wasipokuwa na hekima, watasababisha vurugu na taharuki katika jamii kwa…
Katika safu hii ya Chimba Chimba Historia ya Kanisa wiki iliyopita, tuliwaletea historia ya Uinjilishaji katika nchi za Afrika ya Kati na Camroon. Leo tunaanza kuwaletea historia ya Uinjilishaji ulivyoingia…
ISHARA NA ALAMA KATIKA LITURUJIA-V1. Rangi za Liturujia Rangi zina maana ya ishara katika Liturujia. Rangi inaashiria fumbo la sikukuu au hisia za tukio maalum ambalo Misa huadhimishwa. Ili kuelewa…
Page 1 of 3