Print this page

Semina ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu

By February 19, 2024 460 0

Masista kutoka Mashirika mbalimbali wanaofanyakazi ya Kitume Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Semina ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu, iliyofanyika katika ukumbi Parokia ya Kristo Mfalme, Tabata, jimboni humo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet