Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani, Chamugasa - Busega, Jimbo Katoliki la Shinyanga, Padri Dustan Sitta, akiwa katika picha ya pamoja na waamini wa Kanda ya Mtakatifu Monica, Parokia ya Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili, Tegeta Kibaoni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, baada ya kukabidhiwa Msalaba wa Jubilei ya Miaka 50 ya JNNK baada ya Misa iliyoadhimishwa Parokia ya Tegeta.