Wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakisali Rosari Takatifu baada ya Mkutano wao Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika Ukumbi wa Kristo Mfalme, Parokia ya Kristo Mfalme, Tabata, jimboni humo. (Picha zote na Yohana Kasosi)