Print this page

Parokia ya Mtakatifu Josephina Bakhita, Mtoni-Mtongani

By February 23, 2024 845 0

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, na Mapadri wakiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu wa Parokia ya Mtakatifu Josephina Bakhita, Mtoni-Mtongani, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresma iliyokwenda sanjari na utoaji wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara.

Rate this item
(0 votes)
Japhet