Print this page

Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akibariki matoleo

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akibariki matoleo yaliyoletwa na waamini wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya Nne ya Kwaresma katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozari Takatifu - Makongo Juu. Kulia kwa Askofu ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Joseph Massenge. (Picha na Mathayo Kijazi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet