Print this page

Shirika la Wazee na Wastaafu Katoliki wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Mlezi wa Shirika la Wazee na Wastaafu Katoliki wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Benedict Shayo, akibariki majitoleo ya Wazee na Wastaafu hao wakati wa Sala iliyofanyika katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Manzese jimboni humo, kabla ya kuyapeleka kwa wahitaji katika Kituo cha kulelea wazee na watoto yatima kilichopo Msimbazi Centre, Dar es Salaam. (Picha zote na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet