Print this page

Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli Bunju, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam

Paroko Msaidizi wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli Bunju, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Paul Mallewa aliyeshika Ekaristi Takatifu (katikati), akiwa katika maandamano na Waamini wa Parokia hiyo wakati wa kutembeza Ekaristi Takatifu iliyofanyika parokiani hapo hivi karibuni. (Picha zote na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet