Print this page

Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka katika Parokia mbalimbali

Wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka katika Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Uzinduzi wa Mwezi wa Moyo Mtakatifu wa Yesu, Somo wa Tumaini Media, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Kristo Mfalme, Tabata.

Rate this item
(0 votes)
Japhet