Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (nyuma mwenye Fimbo ya Kichungaji) akiwa katika maandamano na Mapadri kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo hilo wakiingia kanisani kwa Adhimisho la Misa Takatifu ya Uzinduzi wa Mwezi wa Moyo Mtakatifu wa Yesu, Somo wa Tumaini Media, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Kristo Mfalme, Tabata.