Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Ambrosi –IPTL, Salasala, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Paul Sabuni akimkabidhi Mwenyekiti mpya wa Parokia Teule ya Utatu Mtakatifu-IPTL, Restituta Mingo, bahasha za kutegemeza Tumaini Media, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika iliyokwenda sanjali na kuapishwa Viongozi wapya wa Parokia hiyo. (Picha zote na Yohana Kasosi).