Print this page

Watoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu wa Parokia ya Mpiji Magoe

Watoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu wa Parokia ya Mwenyeheri Antonio Rosmini, Mpiji Magoe, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara. Kushoto aliyesimama ni Mlezi wa Shirika hilo, Krista Kimalio.

Rate this item
(0 votes)
Japhet