Baadhi ya Vijana waimarishwa katika Parokia ya Watakatifu Wote Kiluvya, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara parokiani hapo. (Picha na Yohana Kasosi)