Print this page

Kipaimara Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume Bahari Beach

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu na Mapadri wakiwa katika picha ya pamoja na Wasimamizi wa Waimarishwa wa Sakramenti ya Kipaimara, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume Bahari Beach, jijini Dar es Salaam. (Picha na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet