Viongozi wa Utume wa Wanaume Katoliki (Uwaka), Parokia ya Mtakatifu Dominico, Mbezi Juu, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Uwaka Day, parokiani hapo hivi karibuni. (Picha na Yohana Kasosi)