Viongozi wapya wa Dekania ya Mtakatifu Thomas More wakiweka kiapo mbele ya Dekano wa Dekania hiyo, Padri Romwald Mukandala wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Kizito, Kilongawima, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. (Picha na Simon Peter)