Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Mhashamu Simon Masondole, Mapadri, mgeni rasmi, Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo (kushoto kwa Askofu), wakiwa katika picha ya pamoja na WAWATA, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya 21 Mwaka B, sanjari na Harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Kigango cha Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu – Kilimahewa Juu, Parokia ya Mtakatifu Agostino – Salasala, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. (Picha na Mathayo Kijazi)