Print this page

Kardinali Pengo na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya Kibamba

By November 11, 2024 218 0

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya Mtakatifu Vincent wa Paulo, Kibamba, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.

Rate this item
(0 votes)
Japhet