Print this page

Mhashamu Stephano Musomba -OSA, Parokia ya Mtakatifu Boniventura, Kinyerezi

By December 31, 2024 144 0

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Stephano Musomba -OSA, akimbatiza mtoto Kiernani James katika Parokia ya Mtakatifu Boniventura, Kinyerezi jimboni humo wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ambapo watoto 93 walibatizwa, na Watoto 43 walipata Sakramenti ya Ekaristi Takatifu. (Picha na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet