Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Stephano Musomba, akiwaombea Mashemasi wapya 11 baada ya kupokea Daraja Takatifu la Ushemasi wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kutoa Ushemasi, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Roho Mtakatifu, Kitunda, jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi)