Print this page

Parokia ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu - Makongo Juu

By January 20, 2025 163 0

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akisalimiana na Calistre Camilius Lekule wa Parokia ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu  - Makongo Juu, wakati wa kumshika mkono Askofu kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Ubatizo wa Bwana, iliyoadhimishwa parokiani hapo sanjari na uzinduzi wa Shule mpya ya Awali na Msingi ya Mary of The Rosary Pre & Primary School-Makongo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet