Print this page

Mapadri na Viongozi wa Halmashauri ya Walei

Mapadri na Viongozi wa Halmashauri ya Walei kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakifurahia jambo wakati wa mkutano wao, uliofanyika katika viwanja vya Kituo cha Msimbazi, jimboni humo hivi karibuni.

Rate this item
(0 votes)
Japhet