Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Kalmeri Bunju, Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Padri Dominic Somola akiwa amebeba Monstranti yenye Ekaristi Takatifu, wakati wa maandamano ya Ekaristi katika Parokia hiyo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya Sikukuu ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo. (Picha na Yohana Kasosi)