Washiriki katika Semina ya kuwajengea vijana uwezo wa kujiajiri na kuajiriwa, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Semina hiyo iliyoratibiwa na Tumaini Media, iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Parokia ya Kristo Mfalme - Tabata, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. (Picha na Mathayo Kijazi)