Print this page

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu

By February 13, 2026 13 0

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akikabidhi zawadi kwa wawakilishi wa wagonjwa wanaopatiwa huduma za afya katika Zahanati ya Consolata, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuombea Wagonjwa Kijimbo, iliyofanyika katika Kituo cha Consolata Sisters (Kwa Bruda) - Mbagala Misheni, jimboni humo. Kushoto ni Katibu wa Idara ya Afya Jimbo, Pauline Archard.

Rate this item
(0 votes)
Japhet