Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Sesilia-Kisarawe II, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Padri Roger Kamuzinzi (katikati) akiamua kuanza kwa mchezo wa kuvuta kamba kati ya Wanawake Wakatoliki (WAWATA) na Utume wa Wanaume Katoliki (UWAKA) wa parokia hiyo wakati wa sherehe ya Somo wa parokia, ambapo wanawake waliibuka washindi.