Print this page

Mhashamu Augustino Shao Misa ya kumwombea marehemu Padri Daniel Macha

By February 13, 2026 14 0

Askofu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar, Mhashamu Augustino Shao akibariki sanduku lililobeba mwili wa marehemu Padri Daniel Macha aliyewahi kuwa Dekano wa Dekania ya Mtakatifu Gaspar, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kumwombea iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Domonico Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.

Rate this item
(0 votes)
Japhet