Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri, Shemasi na Wanakwaya wa Kwaya ya Mtakatifu Rita wa Kashia, Parokia ya Mtakatifu Rita wa Kashia - Goba Mwisho, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika, sanjari na kusimikwa Paroko mpya iliyofanyika Parokiani hapo. Kushoto kwa Askofu ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Festo Liheta.