Print this page

Kuapishwa Viongozi wapya wa Wazee na Wastaafu

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Henry Mchamungu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Walei baada ya Askofu kuwaapisha Viongozi wapya wa Wazee na Wastaafu. Kulia kwa Askofu ni Padri Joseph Mosha na kushoto ni Padri Vitalis Kassembo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet