Waamini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika maandamano ya Ekaristi Takatifu baada ya adhimisho la Misa Takatifu ikiwa kama ishara ya kumtangaza Yesu wa Ekaristi kwa jamii nzima.