Print this page

Maadhimisho ya Miaka 40 ya Hospitali ya Kardinali Rugambwa, Ukonga

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (nyuma), Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (nyuma), wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Bodi ya Hospitali ya Kardinali Rugambwa, iliyopo Ukonga, jimboni humo, baada ya Maadhimisho ya Miaka 40 ya Hospitali hiyo. Wa tatu kushoto mbele ni Askofu Msaidizi Mteule wa Jimbo hilo, Vincent Mpwaji.

Rate this item
(0 votes)
Japhet