Print this page

Kipaimara wa Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano

Vijana Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kupokea Sakramenti hiyo, iliyokwenda sanjari na Kutabaruku Kanisa na Altare.

Rate this item
(0 votes)
Japhet