Print this page

Viongozi wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume, Bahari Beach

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam (aliyeketi), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume, Bahari Beach, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya lutoa Sakramenti ya Kipaimara parokiani hapo. Kulia kwa Kardinali ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Marko Loth. (Picha na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet