Print this page

Parokia ya Mbezi Mshikamano

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akitoa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara kwa mmoja wa vijana 71 waliopokea Sakramenti hiyo katika Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano, iliyofanyika hivi karibuni. Msimamizi wa kijana huyo, ni Theophil Makunga.

Rate this item
(0 votes)
Japhet