Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji (katikati) akizindua ujenzi wa nyumba ya Mapadri katika Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga - Yombo Dovya jimboni humo,…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume, Vigozi Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti ya Kipaimara iliyoadhimishwa parokiani hapo hivi karibuni sanjari…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Kamili - Yombo Kiwalani, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Kanuth Nyoni akiwabariki Waamini wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Somo wa Kanda…
Dekano wa Dekania ya Kibaha, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Thomas Mtei (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wanakwaya wa Kwaya ya Mtakatifu Petro, Parokia ya Mtakatifu…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji akiwa katika picha ya pamoja na vijana Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Thomas…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi OFMCap akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Daraja…
Dekano wa Dekania ya Kibaha, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Thomas Mtei (katikati) akisema neno kwa Wanakwaya wa Kwaya ya Mtakatifu Petro, Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mkuu Mtume,…
Padri Richard Mlay CP, akiwa katika picha ya Viongozi wa Halmashauri ya Walei na Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili- Tegeta Kibaoni Jimbo Katoliki la Bagamoyo baada…
Baadhi ya Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga - Yombo Dovya Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika adhimisho la Misa Takatifu ya…